Same Town,
WhatsApp

KARIBU ALFA
MIKOPO YA HARAKA KWA WAFANYAKAZI

Pata mkopo kwa riba nafuu zaidi tanzania.

ALFA MICROCREDIT
Suluhisho la Kifedha

Tunakusaidia kukuza biashara yako.

Huduma Bora
Uaminifu na Uwazi

Hakuna gharama zilizofichwa.

Tanzania Yetu
Maendeleo kwa Wote

Inua uchumi wa familia yako.

Makao
Ofisi Zetu zipo Karibu

Tembelea matawi yetu mkoani .

ALFA Team

Kuhusu Sisi

Kuhusu Sisi
ALFA MICROCREDIT

KAMPUNI NAMBA MOJA YA UTOAJI WA HUDUMA ZA MIKOPO

Tunatoa huduma za kifedha, hususani mikopo kwa watumishi wa serikali nchi nzima kupitia mfumo wa ESS, tupigie 0672437470 kwa msaada zaidi.

Maono Yetu

Kuwa kampuni namba moja kwa ubora wa huduma za mikopo na kifedha

Dhumuni Letu

Kutoa mikopo yenye tija kwa watu wote.

Huduma Zetu

MIKOPO KWA WAFANYAKAZI KUPITIA ESS

Ewe mfanyakazi wa serikali, huna haja ya kufika ofisini. Tunahudumia nchi nzima, ingia kwenye ESS akaunti yako, bonyeza E-MIKOPO, kisha bonyeza LOANS, kwa mteja mpya chagua LOANS PRODUCT CATALOGs kisha search ALFA MICROCREDIT. Pia tunatoa huduma za LOAN TOPUP, LOAN RESTRUCTURING, LOAN TAKEOVER...tuchague au piga 0672437470 kama unakwama Tukukwamue.

MIKOPO KWA WAFANYABIASHARA NA VIKUNDI

Mikopo maalumu yenye riba nafuu na ya haraka kwa Vikundi na Wajasiriamali. Elimu hutolewa kabla ya mkopo, tunazingatia mkataba na makubaliano. Ili kupata mkopo kwa mfanyabiashara fika Tawi lililokaribu nawe.

KWA NINI UTUCHAGUE SISI?

Sisi ni Kampuni bora na namba moja inayotoa huduma za kifedha hususani mikopo kwa wafanyakazi, wafanyabiashara na vikundi vya kijamii

alfa

MAFANIKIO YETU
Alfa Microcredit

Tumeweza kuwafikia maelefu ya watu na kubadilisha maisha yao. Tumewezesha wanafunzi kumaliza masomo. Tumewezesha wagonjwa kupata matibabu.

1.06b

Mikopo iliyotolewa

1078

Wateja waliofikiwa


Gundua Zaidi

Habari na Matangazo

2026-05-22 03:14:35.0

MKUTANO MKUU WA WANACHAMA (AGM 2026)

Ewe mwanachama karibu Same, Kilimanjaro Makao makuu ya kampuni Tarehe 29.12.2026

Wadau Wetu

Bopama https://bopamadigtech.com/ Tembelea Tovuti →
NMB Bank Plc www.nmbbank.co.tz Tembelea Tovuti →
CRDB https://www.crdbbank.co.tz/ Tembelea Tovuti →
BANK OF TANZANIA https://www.bot.go.tz/ Tembelea Tovuti →
BRELA https://www.brela.go.tz/ Tembelea Tovuti →
UTUMISHI TANZANIA https://ess.utumishi.go.tz/ Tembelea Tovuti →

Timu Yetu

Fausta Domel

DIRECTOR

Alex Alexander

ASS DIRECTOR

Veronica Daniel

CEO

Regina Henry

LOAN OFFICER

Kwanini Sisi ni Tofauti?

🚀

UKWELI NA UWAZI

Elimu kwa mteja na ufuatiliaji wa marejesho kwa kuzingatia mkataba.

🚀

HUDUMA BORA

Kampuni yenye uwezo, uzoefu na ujuzi wa kutoa mikopo kwa ufanisi ndani ya masaa 24 kupitia ESS na E-BANK

🚀

UHAKIKA WA MKOPO

Kampuni imesajiliwa TRA kwa TIN Na. 175-087-710, Brela Reg Na. 175087710 kampuni inaleseni ya BOT Na. MSP2-Q79 na BRELA leseni Na. 20000200995