ALFA MICROCREDIT
Tunatoa huduma mbalimbali za mikopo zilizoundwa kusaidia ukuaji wa biashara yako na kutatua dharura za kifedha kwa haraka.
Ewe mfanyakazi wa serikali, huna haja ya kufika ofisini. Tunahudumia nchi nzima, ingia kwenye ESS akaunti yako, bonyeza E-MIKOPO, kisha bonyeza LOANS, kwa mteja mpya chagua LOANS PRODUCT CATALOGs kisha search ALFA MICROCREDIT. Pia tunatoa huduma za LOAN TOPUP, LOAN RESTRUCTURING, LOAN TAKEOVER...tuchague au piga 0672437470 kama unakwama Tukukwamue.
Omba Sasa →
Mikopo maalumu yenye riba nafuu na ya haraka kwa Vikundi na Wajasiriamali. Elimu hutolewa kabla ya mkopo, tunazingatia mkataba na makubaliano. Ili kupata mkopo kwa mfanyabiashara fika Tawi lililokaribu nawe.
Omba Sasa →Tunahudumia nchi nzima, ingia kwenye ESS akaunti yako, bonyeza E-MIKOPO, kisha bonyeza LOANS, kwa mteja mpya chagua LOANS PRODUCT CATALOGs kisha search ALFA MICROCREDIT. Pia tunatoa huduma za LOAN TOPUP, LOAN RESTRUCTURING, LOAN TAKEOVER.
TUNAHAKIKI NDANI YA DAKIKA 5 Mfumo wetu unatuma sms pale unapowasilisha tu ombi lako kwetu.
Mkopo unaidhinishwa ndani ya Masaa 24 baada ya kutumwa kwa HR na kurudi kwa mteja
Kila kitu ni online kuanzia kuomba, kuhakiki, kuidhinisha hadi kutumiwa fedha na makato. HAKUNA KUJA OFISINI, KULETA DHAMANA AU KUSAINISHA MAKARATASI
Fedha inaingizwa kwenye Akaunti yako yoyote ya Mshahara (NMB, CRDB nk) moja kwa moja mara tu baada ya mkopo kuthibitishwa.
Bonyeza OMBA SASA au ingia kwenye ESS yako TUCHAGUE au TUPIGIE 0672437470 kama unakwama popote